JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KIAPO CHA KUTHIBITISHA KIFO NA WARITHI
Mimi, [JINA KAMILI LA MLETA KIAPO], mtu mzima, NIDA Na. [ ], mkazi wa [ANWANI], ambaye ni [UHUSIANO] wa marehemu, ninaapa / ninathibitisha kwa dhati na kueleza kama ifuatavyo:
1. Kwamba mimi ni [mke / mume / mtoto / kaka / dada / mzazi] wa marehemu [JINA KAMILI LA MAREHEMU], hivyo ninayafahamu vizuri mambo ninayoyaeleza.
2. Kwamba marehemu alizaliwa tarehe [ ] na alikuwa mkazi wa [ANWANI], [NIDA Na. ...].
3. Kwamba marehemu alifariki tarehe [ ] huko [HOSPITALI / MAHALI], na alizikwa tarehe [ ] huko [MAHALI] [na mimi binafsi niliona mwili wake ukizikwa]. Cheti cha kifo Na. [ ] kilitolewa na [RITA / MSAJILI WA WILAYA] [AU: cheti cha kifo bado hakijatolewa kwa sababu ...].
4. Kwamba wakati wa kifo chake marehemu [alikuwa ameolewa na / alikuwa amemwoa] [JINA], [na hakuwa na mke / mume mwingine].
Sehemu iliyobaki ya hati imefungwa
Lipa mara moja kwa simu na upakue hati kamili papo hapo.
Fungua kuanzia TSh 1,000