[JINA LA MWOMBAJI]
[ANWANI]
[SIMU] [BARUA PEPE]
Tarehe: [ ]
Mkurugenzi Mkuu / Meneja wa Mkoa,
[MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KWA WATUMISHI WA UMMA (PSSSF) / MFUKO WA TAIFA WA HIFADHI YA JAMII (NSSF)]
[ANWANI YA OFISI YA MKOA]
YAH: MAOMBI YA MAFAO YA MAREHEMU [JINA LA MAREHEMU] – NAMBA YA UANACHAMA [ ]
Husika na kichwa cha barua hapo juu. Mimi, [JINA LA MWOMBAJI], NIDA Na. [ ], ni [mjane / mgane / msimamizi wa mirathi / mlezi wa watoto] wa marehemu [JINA LA MAREHEMU], aliyekuwa mwanachama wa Mfuko wako mwenye namba ya uanachama [ ].
1. Marehemu alifariki tarehe [ ] huko [ ], kama inavyoonyeshwa kwenye cheti cha kifo kilichoambatishwa.
2. Wakati wa kifo, marehemu alikuwa mwajiriwa wa [JINA LA MWAJIRI] [/ alikuwa mstaafu anayepokea pensheni ya kila mwezi].
Sehemu iliyobaki ya hati imefungwa
Lipa mara moja kwa simu na upakue hati kamili papo hapo.
Fungua kuanzia TSh 1,000