JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MKATABA WA MAUZIANO YA SIMU / KOMPYUTA
Mkataba huu umefanywa leo tarehe [ ] mwezi wa [ ], [MWAKA] kati ya:
[JINA LA MUUZAJI], NIDA Na. [ ], simu [ ], wa [ANWANI] (“Muuzaji”); NA
[JINA LA MNUNUZI], NIDA Na. [ ], simu [ ], wa [ANWANI] (“Mnunuzi”).
Kifaa
| Aina | [simu / laptop / kompyuta / tablet] |
| Chapa na modeli | [ ] |
| IMEI 1 / IMEI 2 (simu) | [ ] / [ ] |
| Namba ya serial (kompyuta) | [ ] |
| Uwezo (storage / RAM) | [ ] |
| Rangi na hali | [mpya / imetumika, mikwaruzo ...] |
| Vinavyoambatana | [chaja, boksi, risiti ya awali, kava] |
Masharti
1. Bei: TSh [ ] (kwa maneno: [ ]), imelipwa [yote leo] kwa [M-Pesa / benki / taslimu], kumbukumbu Na. [ ].
2. Umiliki: Muuzaji anathibitisha kuwa kifaa ni mali yake halali, hakijaibiwa wala kuripotiwa kupotea, na hakijafungwa (blacklisted) kwa IMEI.
3. Akaunti na data: Muuzaji ameondoa akaunti zake zote (Google, iCloud, Samsung, Microsoft), nywila na kufuli, na amefuta data zake (factory reset) mbele ya Mnunuzi.
Sehemu iliyobaki ya hati imefungwa
Lipa mara moja kwa simu na upakue hati kamili papo hapo.
Fungua kuanzia TSh 1,000