HATI YA DENI (KUKIRI DENI)
Mimi, [JINA KAMILI LA MDAIWA], mwenye NIDA Na. [ ], mkazi wa [MTAA], [KATA], [WILAYA], simu [ ] ("MDAIWA"),
NINAKIRI na kuthibitisha kwamba leo tarehe [ ] mwezi wa [ ], [MWAKA] ninadaiwa na [JINA KAMILI LA MDAI], mwenye NIDA Na. [ ], mkazi wa [ANWANI], simu [ ] ("MDAI"), jumla ya Shilingi [ ] (kwa maneno: [ ]).
1. Chanzo cha deni
Deni hili linatokana na [mkopo wa fedha niliopokea tarehe [ ] / bidhaa nilizochukua kwa mkopo / huduma niliyopewa / ELEZA].
2. Ahadi ya kulipa
Ninaahidi kulipa deni hili [kwa mkupuo mmoja ifikapo tarehe [ ] / kwa awamu [ ] za TSh [ ] kila [wiki / mwezi] kuanzia tarehe [ ]] kwa [fedha taslimu kwa stakabadhi / M-Pesa / Airtel Money / Mixx / benki] kwenda [namba / akaunti].
Sehemu iliyobaki ya hati imefungwa
Lipa mara moja kwa simu na upakue hati kamili papo hapo.
Fungua kuanzia TSh 1,000