[JINA LA MKOPESHAJI]
[ANWANI]
[SIMU]
Tarehe: [ ]
Kwa: [JINA LA MKOPAJI]
[ANWANI]
YAH: HATI YA KUKIRI KUMALIZA DENI NA KUACHILIA DHAMANA
Mimi, [JINA LA MKOPESHAJI], mwenye NIDA Na. [ ], ninakiri na kuthibitisha kama ifuatavyo:
1. Kwamba tarehe [ ] nilimkopesha [JINA LA MKOPAJI], mwenye NIDA Na. [ ], kiasi cha TSh [ ] (kwa maneno: [ ]) kwa mujibu wa [mkataba wa mkopo / hati ya deni] wa tarehe [ ].
2. Kwamba nimepokea malipo yote ya mkopo huo, ikiwemo riba na gharama nyingine, jumla ya TSh [ ], na malipo ya mwisho yalifanyika tarehe [ ] kwa [M-Pesa / benki / taslimu], kumbukumbu Na. [ ].
Sehemu iliyobaki ya hati imefungwa
Lipa mara moja kwa simu na upakue hati kamili papo hapo.
Fungua kuanzia TSh 1,000