MKATABA WA KUREJESHA DENI KWA AWAMU
MKATABA HUU umefanyika leo tarehe [ ] mwezi wa [ ], [MWAKA] KATI YA:
[JINA LA MDAI], wa [ANWANI], simu [ ] ("MDAI"); NA
[JINA LA MDAIWA], NIDA Na. [ ], wa [ANWANI], simu [ ] ("MDAIWA").
1. Kukiri deni
Mdaiwa anakiri kwamba hadi leo anadaiwa na Mdai TSh [ ] (kwa maneno: [ ]) ("Deni"), linalotokana na [mkopo wa tarehe [ ] / ankara Na. [ ] / kodi ya pango / ELEZA].
2. Ratiba ya kulipa
Mdai anakubali Deni lilipwe kwa awamu kama ifuatavyo:
Awamu 1: TSh [ ] ifikapo tarehe [ ]
Awamu 2: TSh [ ] ifikapo tarehe [ ]
Awamu 3: TSh [ ] ifikapo tarehe [ ]
Awamu 4: TSh [ ] ifikapo tarehe [ ]
[ongeza kama inahitajika]
Malipo yatafanywa kwa [M-Pesa / Airtel Money / Mixx / benki] kwenda [namba / akaunti] na kila malipo yatathibitishwa kwa ujumbe wa muamala au stakabadhi.
Sehemu iliyobaki ya hati imefungwa
Lipa mara moja kwa simu na upakue hati kamili papo hapo.
Fungua kuanzia TSh 1,500