[JINA LA MPANGISHAJI]
[ANWANI]
[SIMU]
Tarehe: [ ]
KWA: [JINA LA MPANGAJI]
[Nyumba / Chumba / Fremu Na. [ ]], [MTAA], [KATA], [WILAYA]
YAH: NOTISI YA KUONDOKA KWENYE [NYUMBA / CHUMBA / FREMU]
Husika na kichwa cha habari hapo juu, pamoja na mkataba wa upangaji kati yetu wa tarehe [ ] [au upangaji wa mwezi kwa mwezi ulioanza tarehe [ ]].
Kwa barua hii nakupa notisi kwamba upangaji wako wa [nyumba / chumba / fremu] tajwa utakoma tarehe [TAREHE YA KUKOMA], ambayo ni baada ya siku [30 / [ ]] tangu tarehe ya barua hii, kwa mujibu wa kifungu cha [ ] cha mkataba wetu.
Sehemu iliyobaki ya hati imefungwa
Lipa mara moja kwa simu na upakue hati kamili papo hapo.
Fungua kuanzia TSh 1,000