[JINA LA MPANGISHAJI]
[ANWANI]
[SIMU]
Tarehe: [ ]
KWA: [JINA LA MPANGAJI]
[Nyumba / Chumba / Fremu Na. [ ]], [MTAA], [WILAYA]
YAH: NOTISI YA KUDAI MALIMBIKIZO YA KODI YA PANGO – SHILINGI [KIASI]
Husika na mkataba wa upangaji kati yetu wa tarehe [ ], ambao kodi ni Shilingi [ ] kwa mwezi inayolipwa kabla.
Kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa hujalipa kodi ya miezi ifuatayo: [MWEZI] – Shilingi [ ]; [MWEZI] – Shilingi [ ]; [MWEZI] – Shilingi [ ]. Jumla ya malimbikizo ni Shilingi [JUMLA] [pamoja na bili ya [maji / ulinzi] ya Shilingi [ ]].
Sehemu iliyobaki ya hati imefungwa
Lipa mara moja kwa simu na upakue hati kamili papo hapo.
Fungua kuanzia TSh 1,000