JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MKATABA WA WAKALA WA NYUMBA NA ARDHI (DALALI)
Mkataba huu umefanywa leo tarehe [ ] mwezi wa [ ], [MWAKA] kati ya:
[JINA LA MMILIKI], mwenye NIDA Na. [ ], wa [ANWANI], simu [ ] (“Mmiliki”); NA
[JINA LA DALALI / KAMPUNI YA UDALALI], mwenye NIDA / TIN Na. [ ], wa [ANWANI], simu [ ] (“Wakala”).
Masharti
1. Mali: [Nyumba / kiwanja / shamba / fremu] iliyopo [MAHALI], [Kiwanja Na. ... chenye hati Na. ... / isiyopimwa].
2. Kazi: Mmiliki anamteua Wakala kumtafutia [mnunuzi / mpangaji] wa mali hii kwa bei isiyopungua TSh [ ] [kwa mauzo / kwa mwezi kwa kodi].
3. Aina ya uwakala: [Wakala pekee (exclusive) – Mmiliki hatamteua wakala mwingine katika kipindi hiki / Si pekee – Mmiliki anaweza kutumia mawakala wengine au kutafuta mwenyewe].
4. Muda: Siku [ ] kuanzia tarehe ya mkataba huu, isipokuwa ukisitishwa mapema kwa notisi ya maandishi ya siku [7].
5. Kamisheni: Wakala atalipwa [ ]% ya bei ya mauzo / kodi ya mwezi [ ] tu, baada ya mkataba wa mauzo au upangishaji kusainiwa na Mmiliki kupokea fedha. Hakuna kamisheni ikiwa muamala haukamiliki.
6. Fedha za wateja: Wakala hatapokea malipo yoyote ya bei, kodi au amana kwa niaba ya Mmiliki. Malipo yote yatafanywa moja kwa moja kwenye akaunti ya benki au namba ya simu ya Mmiliki: [ ].
Sehemu iliyobaki ya hati imefungwa
Lipa mara moja kwa simu na upakue hati kamili papo hapo.
Fungua kuanzia TSh 1,500