JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
HATI YA UWAKILISHI MAALUM (SPECIAL POWER OF ATTORNEY)
KWA HATI HII, mimi [JINA KAMILI LA MTOAJI], mwenye NIDA / Pasipoti Na. [ ], mkazi wa [ANWANI] (“Mtoaji”), NINAMTEUA [JINA KAMILI LA WAKALA], mwenye NIDA Na. [ ], mkazi wa [ANWANI] (“Wakala”), kuwa wakala wangu maalum kwa jambo moja tu lifuatalo:
Jambo maalum
[Chagua au andika jambo moja, kwa mfano:]
1. Kufuatilia na kupokea hati miliki ya kiwanja changu Kitalu [ ] Kiwanja Na. [ ] kutoka Ofisi ya Ardhi ya [ ].
2. Kunisimamia katika [Shauri Na. ... la Mahakama / Baraza la ...], ikiwa ni pamoja na kuhudhuria, kutoa maelekezo kwa wakili na kusaini nyaraka za shauri.
3. Kupokea mafao yangu ya [NSSF / PSSSF / bima] kutoka [taasisi] na kusaini fomu zinazohusika.
Sehemu iliyobaki ya hati imefungwa
Lipa mara moja kwa simu na upakue hati kamili papo hapo.
Fungua kuanzia TSh 1,000