JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KIAPO CHA KUPOTELEWA NA LESENI YA UDEREVA
Mimi, [JINA KAMILI LA MLETA KIAPO], mkazi wa [ANWANI], mwenye NIDA Na. [ ], [KAZI], ninaapa / ninathibitisha kwa dhati na kueleza kama ifuatavyo:
1. Kwamba mimi ni raia wa Tanzania, mtu mzima, na ninafahamu yaliyomo katika kiapo hiki.
2. Kwamba nilikuwa mmiliki halali wa leseni ya udereva Na. [ ] ya daraja [ ], iliyotolewa tarehe [ ] na kuisha muda tarehe [ ], kwa jina la [JINA KAMA LILIVYO KWENYE LESENI].
3. Kwamba tarehe [ ] au karibu na tarehe hiyo, nikiwa [mahali, mf. sokoni Kariakoo / kwenye daladala kutoka ... kwenda ...], leseni yangu [ilipotea / iliibiwa pamoja na pochi yangu] katika mazingira ambayo siwezi kuyaeleza zaidi.
4. Kwamba nimeitafuta kwa juhudi zote bila mafanikio.
Sehemu iliyobaki ya hati imefungwa
Lipa mara moja kwa simu na upakue hati kamili papo hapo.
Fungua kuanzia TSh 1,000