JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS – TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
SERIKALI YA [MTAA / KIJIJI] WA [ ], KATA YA [ ], WILAYA YA [ ]
MUHTASARI WA KIKAO CHA SERIKALI YA MTAA KUTHIBITISHA MAUZO YA KIWANJA / SHAMBA
Tarehe ya kikao: [ ]
Mahali: Ofisi ya [Mtaa / Kijiji] wa [ ]
Muda: Saa [ ] hadi saa [ ]
Waliohudhuria
1. [JINA] – Mwenyekiti wa [Mtaa / Kijiji] (Mwenyekiti wa kikao)
2. [JINA] – Mtendaji wa [Mtaa / Kijiji] (Katibu wa kikao)
3. [JINA] – Mjumbe wa Kamati
4. [JINA] – Mjumbe wa Kamati
5. [JINA] – Balozi / Mjumbe wa nyumba kumi wa eneo husika
Wahusika wa mauzo
Muuzaji: [JINA], NIDA Na. [ ], mkazi wa [ ], simu [ ]
Mwenzi wa muuzaji: [JINA], NIDA Na. [ ] (ametoa ridhaa) / [Muuzaji hana mwenzi]
Mnunuzi: [JINA], NIDA Na. [ ], mkazi wa [ ], simu [ ]
Ajenda
1. Kufungua kikao.
2. Kuthibitisha umiliki wa muuzaji na mipaka ya ardhi.
3. Kupokea maoni ya majirani.
4. Kuthibitisha makubaliano ya mauzo na malipo.
5. Mengineyo na kufunga kikao.
Kumbukumbu za kikao
Sehemu iliyobaki ya hati imefungwa
Lipa mara moja kwa simu na upakue hati kamili papo hapo.
Fungua kuanzia TSh 1,000