[JINA LA MDAI / WAKILI]
[ANWANI YA POSTA]
[MAHALI]
Simu: [ ] Barua pepe: [ ]
Tarehe: [ ]
Kwa:
[Katibu Mkuu, Wizara ya ... / Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya ... / Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya ...],
[ANWANI],
[MAHALI].
YAH: NOTISI YA SIKU TISINI (90) YA KUSUDIO LA KUISHTAKI SERIKALI – [KIINI CHA DAI, mf. KUBOMOLEWA NYUMBA ILIYOPO ... / MALIPO YA MKATABA NA. ... / FIDIA YA ARDHI ILIYOTWALIWA]
(Inatolewa chini ya kifungu cha 6(2) cha Sheria ya Mashauri dhidi ya Serikali, Sura ya 5.)
Tafadhali chukua notisi kwamba, baada ya kumalizika kwa siku tisini (90) tangu notisi hii kupokelewa, ninakusudia kufungua shauri dhidi ya [JINA LA WIZARA / HALMASHAURI / TAASISI] na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa madai yafuatayo:
Msingi wa madai
1. Mimi ni [mmiliki wa kiwanja / mkandarasi / mtumishi wa zamani / mfanyabiashara] [maelezo mafupi].
Sehemu iliyobaki ya hati imefungwa
Lipa mara moja kwa simu na upakue hati kamili papo hapo.
Fungua kuanzia TSh 1,500